Joho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Fashion Plate Manteau 1823.jpg|thumb|Joho la [[jioni]] la huko [[Paris]], [[Ufaransa]], [[1823]].]]
'''Joho''' (kwa [[Kiingereza]]: "cloack") ni [[vazi]] pana linalofanana na [[koti]] refu ambalo mbele liko wazi. Aghalabu hushonwa au hunakshiwa kwa darizi katika sehemu za [[shingo]]ni na mbele.
 
Joho hunakshiwa kwa [[rangi]] mbalimbali, kwa mfano [[nyeusi]] au [[bluu]].