Wafanyakazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Wafanyakazi''' ni watu waliojiajiri au walioajiriwa ili kufanya kazi fulani kwa ufasaha. Tukizungumzia wafanyakazi waliojiajiri tunamaanisha wale waf...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:10, 16 Septemba 2017

Wafanyakazi ni watu waliojiajiri au walioajiriwa ili kufanya kazi fulani kwa ufasaha. Tukizungumzia wafanyakazi waliojiajiri tunamaanisha wale wafanyakazi ambao wameanzisha biashara zao wenyewe na zinawalipa wao wenyewe kutokana na ununuzi wa biashara hizo,

Tukizungumzia wafanyakazi walioajiriwa tunamaanisha wale wafanyakazi ambao wanafanya biashara za kutokana na mwongozo kutoka kwa wakuu wao wa kazi.