Insha za hoja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Insha za hoja ni insha zinazoelezea jambo fulani katika hali ya kujenga hoja ambazo zinatetea msimamo fulani alionao mwandishi wa insha hiyo juu ya jambo analol...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Insha za hoja''' ni [[insha]] zinazoelezea jambo fulani katika hali ya kujenga [[hoja]] ambazo zinatetea msimamo fulani alionao [[mwandishi]] wa insha hiyo juu ya jambo analolizungumzia.Hoja ni maelezo bayana yanayotolewa na mwandishi kutetea msimamo wake.
 
Hoja ni maelezo bayana yanayotolewa na mwandishi kutetea msimamo wake.
Katika uandishi wa insha za aina hii,mwandishi hutakiwa kuonesha ni jambo gani analoliunga mkono na ni lipi ambalo hakubaliani nalo.
 
Katika [[uandishi wa insha]] za aina hii, mwandishi hutakiwa kuonesha ni jambo gani analoliunga [[mkono]] na ni lipi ambalo hakubaliani nalo.
Ili hoja zote zipate kueleweka ni sharti zipangwe kwa mtililiko wa mawazo ulio sahihi kiasi mtu aisomapo anapata kuelewa ni mada gani mwandishi anaijadili na ana msimamo gani kuhusu mada hiyo.
 
Ili hoja zote zipate kueleweka ni sharti zipangwe kwa mtililikomtiririko wa [[wazo|mawazo]] ulio sahihi kiasi kwamba [[mtu]] aisomapo insha anapata kuelewa ni mada gani mwandishi anaijadili na ana msimamo gani kuhusu mada hiyo.
 
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Fasihi]]