Amirijeshi mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Amirijeshi mkuu''' (kwa [[Kiingereza]]: "commander-in-chief" ni [[kiongozi]] wa [[Jeshi|majeshi]] yote katika nchi fulani.
 
Kwa mfano nchini [[Tanzania]] amirijeshi mkuu ni [[rais]]: ndiye anayetoa [[amri]] kwa majeshi yake. Kwa sasa amirijeshi wa sasa Tanzania ni [[John Pombe Magufuli]].