Darasa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|mfano wa darasa la wanafunzi wakiwa wanasoma '''Darasa''' ni jengo au chumba ambacho mafunzo ya elimu hutolewa mas...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:21, 16 Septemba 2017

Darasa ni jengo au chumba ambacho mafunzo ya elimu hutolewa mashuleni.Madarasa haya hujengwa ili kunapotokea mvua,vumbi au chochote kile ambacho kinaweza kuleta madhara kwa wanafunzi.Madarasa hubeba wanafunzi,ubao wa kufundishia,madawati pia meza ya waalimu.

Faili:CLASS ROOM.jpg
mfano wa darasa la wanafunzi wakiwa wanasoma