Bonde : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 3:
'''Bonde''' ni sehemu ya ardhi iliyo baina ya [[milima]] miwili. Au tunaweza kusema kama bonde ni sehemu iliyo chini na inayo pitiwa na [[mto]].
 
Bonde linafanywa kwa kina na mto wa [[maji]] au wakati mto unapita kutoka kwenye ardhi ya juu hadi [[ardhi]] ya chini, na kuingia [[baharinibahari]]ni au [[ziwaniziwa]]ni. [[Upepo]] pia unaweza kufanya mabonde makubwa kwa [[mmomonyoko]].
 
{{mbegu-fizikia}}