Mjoho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 15:
| spishi = Zaidi ya 700
}}
'''Mijoho''' ni [[mti|miti]] mikubwa kiasi ya [[jenasi]] ''[[Diospyros]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Ebenaceae]]. [[Tunda|Matunda]] yao huitwa [[Joho (tunda)|majoho]]. [[Spishi]] kadhaa hupandwa ili kuvuna majoho, lakini spishi nyingi sana hukua [[msitu|misituni]] kwa kanda za [[tropiki]] na [[nusutropiki]]. Nyingine hukatwa ili kutumia [[ubao]] mzuri wao ([[abunusi]]), nyingine hutumiwa kwa kuvuna majoho, nyingine tena hazitumiki. Spishi nyingi hutishika na kutoweka kwa sababu zinakatwa sana au kwa sababu makazi yao yanaharibiwa.
 
==Spishi za Afrika==