Marimba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|marimba '''Marimba''' (kwa kingereza xylophone) ni chombo cha muziki chenye umbo la sanduku,kilichotengenezwa kwa...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:23, 17 Septemba 2017

Marimba (kwa kingereza xylophone) ni chombo cha muziki chenye umbo la sanduku,kilichotengenezwa kwa mbao na kutandikwa vibao vidogovidogo vyembamba vinavyotoa sauti mbalimbali vinapopigwa na virungu viwili,pia marimba huweza kutengenezwa kwa kutumia chuma

marimba