Basi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Basi''' ni chombo cha usafiri kinacho tumika kusafirisha watu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine kwaajili ya shughuli mbalimbali mfano za [[kikazi]...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:37, 17 Septemba 2017

Basi ni chombo cha usafiri kinacho tumika kusafirisha watu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine kwaajili ya shughuli mbalimbali mfano za kikazi,kimasomo,kiutafiti na kadhrika.vyombo hivi vipo vya aina mbalimbali mfano kuna mabasi madogo yanayobeba abiria wachache na kusafiri umbali wa kawaida na pia kuna mabasi makubwa yenyekubeba watu wengi kuanzia watu hamsini na kuendelea na mabasi haya usafiri umbali mrefu yanaweza kusafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine bila kumpumzishwa.katika dunua ya sasa mabasi yanatumika sana kati shughuli mbalimbali mfano shughuli za kiuchumi kwa kusafirisha wafanyakazi na wafanyabiashara katika nchi mbalimbali, kwa msaada wa vyombo hivi watu wanaweza kufika sehemu nyingi kwa wakati na kazi zao kwa wakati hali hii imesaidia kwa kiasi kikubwa kukuza uchumi wa nchi nyingi duniani