Tashtiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tashtiti''' ni mbinu ya kuuliza maswali kwa jambo ambalo unafahamu jibu lake, na hufanya hivyo kwa lengo la kusisitiza jambo, kuleta mshangao, n.k. ;Mfano: *...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Tashtiti''' ni [[mbinu]] ya kuuliza maswali[[swali]] kwa jambo ambalo unafahamu [[jibu]] lake, na hufanya hivyo kwa lengo la kusisitiza jambo, kuleta [[mshangao]], n.k.
;Mfano:
*Ikiwa [[mtu]] kapoteana na [[rafiki]] yake kwa [[muda]] mrefu, halafu ghafla wanakutana, huweza kumwuliza "Aisee! ni wewe?", Hali ya kuwahali anajua kuwa ni yeye.
 
==Marejeo==
*Nyambari Nyangwine, J.A Masebo - ''Jitayarishe kwa Kishwahili Toleo Jipya'', 2008. ISBN 978 9987 09 017 4.