Bustani za Botanic : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Pheasant's Tail (Anthurium schlechtendalii) (2868496395).jpg|thumb|Mmoja wa mimea katika bustani.]]
'''Bustani za Botanic Belize''' (kwa [[Kiingereza]]: "Belize Botanic Gardens", kifupi: BBG) ni [[hekari]] 45 zenye [[mimea]] ya asili na ya kigeni inayokua katika [[wilaya ya Cayo]] ya [[Belize]] [[magharibi]].
 
[[Bustani]] ipo katika [[bonde]] la [[Mto Macal]], iliyozungukwa na [[mlima]] wa [[Maya]].
 
Lengo kuu la BBG ni kuhimiza [[kilimo]] endelevu, kudumisha makusanyo ya [[hifadhi]] na kushiriki katika [[elimu ya uhifadhi]]. WanalengaInalenga kuhamasisha [[wageni]] ili kulinda [[mimea]] na [[makazi]] yao kwa kujifunza zaidi kuhusu [[ulimwengu]] wa mimea.
 
{{Mbegu-jio}}