Basi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Minibus in Novoaltaisk 02.JPG|thumb|Basi dogo huko Novoaltaisk.]]
[[Picha:Yutong ZK6129H in Kraków (2).jpg|thumb|Basi la masafa marefu huko krakow[[Krakow]], [[Polandi]].]]
'''Basi''' (kutoka [[Kiingereza]] "bus") ni chombo cha [[usafiri]] kinachotumika kusafirisha [[watu]] kutoka eneo moja kwenda eneo jingine kwa ajili ya shughuli mbalimbali, kwa mfano [[kazi]], [[masomo]], [[utafiti]] na kadhalika.
 
Vyombo hivi vipo vya aina mbalimbali, kwa mfano kuna mabasi madogo yanayobeba [[abiria]] wachache na kusafiri [[umbali]] wa kawaida, pia kuna mabasi makubwa yenye kubeba [[watu]] wengi kuanzia [[hamsini]] na kuendelea na [[mabasi]] hayo husafiri umbali mrefu: yanaweza kusafiri kutoka [[nchi]] moja kwenda [[nchi]] nyingine bila kumpumzishwa.
 
Katika [[dunia]] ya sasa mabasi yanatumika sana katika shughuli mbalimbali, kwa mfano shughuli za kiuchumi kwa kusafirisha [[wafanyakazi]] na [[wafanyabiashara]] katika [[nchi]] mbalimbali.
 
Kwa msaada wa vyombo hivyo [[watu]] wanaweza kufika sehemu nyingi kwa wakati na kwenye [[kazi]] zao kwa wakati; hali hii imesaidia kwa kiasi kikubwa kukuza [[uchumi]] wa [[nchi]] nyingi [[duniani]].
 
{{tech-stub}}