Sitiari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sitiari''' ni tamathali ya usemi inayofananisha mambo mawili bila kutumia kiunganishi katikati. Kwa mfano: "Jihadhari, mtu yule ni sungura...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Sitiari''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]]: "metaphor" kutoka [[Kigiriki]] μεταφορά, metaforaa, yaani "uhamisho") ni [[tamathali]] ya [[usemi]] inayofananisha mambo mawili bila kutumia [[kiunganishi]] katikati.
 
Kwa mfano: "Jihadhari, [[mtu]] yule ni [[sungura]]". Msemaji hadhani kweli kwamba mtu ni sungura, bali anataka kudokeza na kusisitiza [[ujanja]] wake.