Ritifaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ritifaa''' (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: "apostrophe") ni alama ya uakifishaji inayoandikwa '. Alama hiyo inaonyesha pengine kwa...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Ritifaa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]]: "apostrophe", kutoka [[Kigiriki]] ἀποστροφή, apostrofee, "ondoleo") ni [[alama]] ya [[uakifishaji]] inayoandikwa '.
 
Alama hiyo inaonyesha pengine kwamba [[herufi]] au [[silabi]] imeanguka au kupunguzwa, kwa mfano katika [[shairi]], lakini katika herufi "ng'" inatofautisha [[fonimu]] husika na nyingine inayofanana (ng).