Wavuvi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuweka picha
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Fisherman and his catch Seychelles.jpg|thumb|250px|Mvuvi wa [[Shelisheli]].]]
[[Picha:Spear fisherman in Hawaii-Carschten-proof.jpg|thumb|mvuviMvuvi anayevua chini kwa chini.]]
[[Picha:Kiribati fisherman (10706973774).jpg|thumb|Mvuvi akirusha [[wavu]] wake.]]
'''Wavuvi''' (kutoka [[kitenzi]] "kuvua"; kwa [[Kiingereza]] "fishermen") ni [[watu]] wanaofanya [[kazi]] ya [[Uvuvi|kuvua]] [[samaki]] na [[wanyama]] wengine kutoka kwenye [[maji]] ya [[Bahari|baharini]], [[Mito|mitoni]], [[Ziwa|ziwani]] au [[Bwawa|bwawani]] na hujipatia [[kipato]] kupitia [[kazi]] hii.
 
Kutokana na [[takwimu]] za [[FAO]] [[Ulimwengu|Ulimwenguni]] kote kuna watu [[milioni]] 38 [[duniani]] wanaofanya kazi ya kuvua au kufuga samaki na hivyo husaidia kukuza [[uchumi]] wa nchi. Mara nyingi wavuvi hutumia chombo cha kusafiria [[Maji|majini]] kama [[boti]] au [[mtumbwi]] lakini wengine wanakaa ufukoni na kuvua kutoka nchi kavu.
 
Vyombo vya uvuvi ni aina za [[wavu|nyavu]] zinazoweza kushika samaki na kuwavuta nje ya maji, [[ndoano]] au pia aina za [[Mkuki|mikuki]] inayolenga samaki walio karibu na uso wa maji.
 
Watu wengi hupata [[protini]] kwa kula [[windo]] la [[samaki]].
 
Wavuvi wanaweza kuwa [[wataalamu]] wa kazi hiyo au kuifanya kama [[burudani]] tu; wanaweza kuwa [[wanaume]] au [[wanawake]] vilevile.
 
[[Uvuvi]] umekuwepo kama njia ya kupata [[chakula]] tangu kipindi cha [[enzi za mawe ya kati]].
 
{{mbegu-utamaduni}}