Kikokotozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sharp Scientific Calculator.jpg|thumb|kikokotoziKikokotozi cha kisayansi]]
'''Kikokotozi''' ni [[mashine]] ndogo ya [[hesabu]] inayotumika kukokotoa mambo mbalimbali yanayohusu [[hesabu]].
 
Mashine hizi zipo za aina nyingi: katika hizi kuna zinazoweza kukokotoa [[hesabu]] za kawaida ambazo mara nyingi hutumika [[duka|madukani]] na kwenye [[biashara]] nyinginezo na kuna zinazoweza kukokotoa hesabu za [[fizikia]], [[kemia]] na [[hesabu]] ngumu ambazo haziwezi kufanywa na kikokotozi cha kawaida.
 
Mara nyingi hizi hutumiwa na [[wanahisabati]] na [[wanasayansi]] ili kufanya [[hesabu]] kwa wepesi na haraka.
 
{{tech-stub}}