Sanaa ya Kikristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:VirgenNino.jpg|thumb|250px|Bikira Maria na [[Mtoto Yesu]] walivyochorwa na [[Wakristo]] wa [[karne ya 4]] katika [[mahandaki]] ya [[Roma]], walipokutana [[Sala|kusali]]. Mapema sana walianza kupamba [[Kaburi|makaburi]] ya humo kwa michoro ya [[Kristo]], ya [[watakatifu]], ya matukio ya [[Biblia]] n.k. Hivyo mahandaki ndiyo [[Kitovu|vitovu]] vya sanaa ya Kikristo.]]
{{Ukristo}}
'''Sanaa ya Kikristo''' ni [[sanaa]] iliyokusudiwa kutokeza [[imani]] ya [[Ukristo]] katika [[uzuri]] wake. Mara nyingi hiyo inafanyika kuhusiana na [[ibada]] na [[Jengo|majengo]] yanayotumika kwa ajili hiyo.
 
Kwa ajili hiyo inatumia [[mada]] na [[Mifano ya Yesu|mifano]] ya [[Injili]] au [[vitabu]] vitakatifu vingine, lakini pia [[habari]] za [[maisha]] ya [[watakatifu]].
 
[[Madhehebu]] karibu yote yanatumia sanaa za aina fulani kwa namna hiyo, ingawa mengine yanakataa [[uchoraji]] n.k.
 
[[Picha]] za [[Yesu]] ndiyo [[michoro]] ya kawaida zaidi, zikifuatwa na zile za [[Bikira Maria]] katika [[Kanisa Katoliki]] na yale ya [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]].
 
Kutokana na kujali na kustawisha aina zote za sanaa, Wakatoliki wameshika nafasi ya kwanza katika [[idadi]] ya vituo vilivyoorodheshwa na [[UNESCO]] kama [[Urithi wa Dunia]]. Kwa mfano, nchi nzima ya [[Vatikani]] imo katika [[orodha]] hiyo.
 
Wakatoliki katika [[Mtaguso II wa Vatikano]] ([[hati]] [[Sacrosanctum Concilium]]) walikiri kwamba [[muziki wa Kikristo]] ndio sanaa bora kuliko zote kwa sababu ya kuhusianaunahusiana zaidi na [[Neno la Mungu]] ambalo unalipamba kwa [[noti]] ili lieleweke na kugusa [[Moyo|mioyo]] zaidi.
 
==Tanbihi==