Liturgia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Vihkimistilaisuus Kiuruveden kirkossa.JPG|thumb|Liturujia ya [[ndoa]] katika kanisa la [[Kiuruvesi]], [[Finland]]]]
{{Ukristo}}
'''Liturgia''' (pia: '''liturujia''' na '''liturugia'''; kutoka [[Kigiriki]] '''λειτουργια''', ''leiturgia'', yaani ''huduma kwa umati wa watu'') ni [[utaratibu]] wa [[ibada]] hasa katika [[Kanisa]] la [[UkristoKikristo]].
 
Wakati mwingine [[neno]] hili linatumika pia kwa muundo au utaratibu wa [[sala]] katika [[dini]] mbalimbali.
 
Kwa kawaida liturgia inamaanisha utaratibu maalumu unaoweka mpangilio wa sala, [[nyimbo]], masomo na [[sherehe]] nyingine wakati wa ibada.
 
Taratibu zinatofautiana kulingana na [[imani]], [[teolojia]], [[historia]] na [[utamaduni]] wa wahusika.
Ndani ya Ukristo kuna taratibu mbalimbali ambazo matawi yake makuu ni:
 
NdaniHivyo ndani ya [[Ukristo]] kuna taratibu mbalimbali ambazo [[tawi|matawi]] yake makuu ni:
*liturgia ya [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]]
*liturgia ya [[Wakatoliki]] wanaofuata mapokeo ya [[Roma]]
*liturgia ya [[madhehebu]] ya [[Uprotestanti]] wa asili ([[Walutheri]], [[Waanglikana]], [[Waprebiteri]] n.k.), tofauti na [[ubunifu]] wa yale ya [[Wapentekoste]] n.k.
 
Kiini cha liturgia ya Kikristo ni zile ibada zilizoanzishwa na [[Yesu]] mwenyewe, hasa [[ekaristi]].
 
==Marejeo==