Tungo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d imeandikwa na Elisha the great
Mstari 8:
==Tungo ni nini?==
Neno tungo katika lugha ya [[Kiswahili]], hasa kwa upande wa sarufi, lina maana ya ''neno au mpangilio wa maneno unaotoa taarifa fulani''. Taarifa hiyo inaweza kuwa kamili au la. Mfano: Yeye anayesoma.... Yule anajua kuandika. Lakini lazima kuwe na mpangilio kamili katika muundo mzima wa kisarufi.
==Aina za tungo==
 
==Aina za tungo==
[[Uainishaji]] wa tungo umejikita katika vigezo mbalimbali kutegemeana na matakwa ya mwainishaji. Baadhi ya vigezo vinaweza kutumika kwa kuainisha aina za tungo, nazo ni:
 
#[[Kigezo cha viwango]]
#[[Kigezo cha muundo]]
#[[Kigezo cha maana]]
 
==sifa za tungo==
*Kishazi hupatikana katika/ ndani ya sentensi.
*Lazima kishazi kiwe na kitenzi, sehemu yoyote ya sentensi isiyo na kitenzi, haiwezi kuwa kishazi. Kishazi huru hutawaliwa na kishazi kikuu na kishazi tegemezi hutawaliwa na kishazi tegemezi.
*Baadhi ya vishazi huweza kujitegemea kama sentensi hata vikiondoshwa katika muktadha wa sentensi kuu. Kishazi kinachoweza kujisimamia kama sentensi huitwa kishazi huru kikiwa ndani ya sentensi kuu na huitwa “sentensi sahili” kikiwa sentensi inayojitegemea.* Baadhi ya *vishazi haviwezi kujitegemea kama sentensi ikiwa vitaondoshwa katika muktadha wa sentensi kuu.
*Vishazi vingi, hata vishazi huru huwa na kiima dhahiri
*Kishazi kwa kawaida, hasa kishazi huru huwa na kitenzi kimoja kikuu.
*Kitenzi hicho huweza kuandamana na kitenzi kisaidizi. Pia, kitenzi katika kishazi huweza kuwa kitenzi kishirikishi.
Kishazi hutekeleza majukumu mbalimbali ya kisarufi.
*Tofauti ya kishazi na sentensi ni kwamba kishazi hupatikana ndani ya sentensi lakini sentensi hujisimamia kimuundo na kimaana.Kishazi huwa na kiarifu kimoja na kiima kimoja, Lakini sentensi huweza kuwa na kiima kimoja.uainisha aina za tungo, nazo ni:
 
 
==Tazama pia==