Komamanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'link=Picha:Pomegranate02%20edit.jpg|thumb|mfano wa komamanga likiwa limeiva '''komamanga''' ni tunda lenye mbegu nyek...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:51, 18 Septemba 2017

komamanga ni tunda lenye mbegu nyekundu ndani na ndogondogo,na jekundu kwa nje.Tunda hili huliwa na binadamu na hata ndege.

mfano wa komamanga likiwa limeiva

FAIDA ZA KOMAMANGA.

1.Lina uwezo mkubwa wa kuzuia ugonjwa wa kansa.

2. Linasaidia kukinga magonjwa ya moyo.

3. Huipa afya mishipa ya moyo.

4. Husaidia kurekebisha presha ikae sawa.

5. Husaidia kupunguza uzito na kukuweka sawa.

6. Huongeza hamu ya kula.

7. Husaidia usagaji wa chakula mwilini.

8. Hutibu ugonjwa wa kupungua kwa damu mwilini.

Tunda hili watu hulidhalau lakini linafaida nyingi sana katika miili wetu.Tunda hili asili yake ni mashariki ya kati