Stokingi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Stokingi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "stocking") ni [[soksi]] ndefu zinazofika kwenye [[magoti]] na mara nyingi huvaliwa pamoja na [[kaptura]] au [[bukta]].
 
Stokingi pia ni soksi ndefu za [[wanawake]] zinazofika kwenye [[mapaja]] au [[kiuno]]; soksi hizi huvaliwa haswa na [[wauguzi]].
 
Zinaweza kuwa za [[uzito]] na [[rangi]] mbalimbali.
 
{{mbegu-utamaduni}}