Tungo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d imeandikwa na Elisha the great
No edit summary
Mstari 8:
==Tungo ni nini?==
Neno tungo katika lugha ya [[Kiswahili]], hasa kwa upande wa sarufi, lina maana ya ''neno au mpangilio wa maneno unaotoa taarifa fulani''. Taarifa hiyo inaweza kuwa kamili au la. Mfano: Yeye anayesoma.... Yule anajua kuandika. Lakini lazima kuwe na mpangilio kamili katika muundo mzima wa kisarufi.
 
==Aina za tungo==
#[[Kigezo cha viwango]]
Line 14 ⟶ 15:
 
==Tungo kishazi==
Kishazi ni tungo yenye kitenzi ambacho chaweza kujitosheleza na kukamilisha [[ujumbe]] uliokusudiwa na mzungumzaji au kuwa na kitenzi kisichoweza kujitegemea chenyewe.
 
==Sifa za tungo kishazi==
*Kishazi hupatikana katika/ ndani ya sentensi.
*Lazima kishazi kiwe na kitenzi,: sehemu yoyote ya sentensi isiyo na kitenzi, haiwezi kuwa kishazi. [[Kishazi huru]] hutawaliwa na [[kishazi kikuu]], na [[kishazi tegemezi]] hutawaliwa na kishazi tegemezi.
*Baadhi ya vishazi huweza kujitegemea kama sentensi hata vikiondoshwa katika muktadha wa [[sentensi kuu]]. Kishazi kinachoweza kujisimamia kama sentensi huitwa kishazi huru kikiwa ndani ya sentensi kuu na huitwa “sentensi“[[sentensi sahili”sahili]]” kikiwa sentensi inayojitegemea.
* Baadhi ya *vishazi haviwezi kujitegemea kama sentensi ikiwa vitaondoshwa katika muktadha wa sentensi kuu.
*Vishazi vingi, hata vishazi huru huwa na [[kiima]] dhahiri.
*Kishazi kwa kawaida, hasa kishazi huru, huwa na kitenzi kimoja kikuu.
*Kitenzi hicho huweza kuandamana na kitenzi kisaidizi. Pia, kitenzi katika kishazi huweza kuwa kitenzi kishirikishi.
*Kishazi hutekeleza [[Jukumu|majukumu]] mbalimbali ya kisarufi.
*Tofauti kati ya kishazi na sentensi ni kwamba kishazi hupatikana ndani ya sentensi lakini sentensi hujisimamia kimuundo na kimaana. Kishazi huwa na [[kiarifu]] kimoja na kiima kimoja, Lakini sentensi huweza kuwa na kiima kimoja.uainisha aina za tungo, nazo ni:
 
 
==Tazama pia==