Tanganyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Flag of Tanganyika (1919-1961).svg|thumb|170px|right|Bendera ya koloni ya Tanganyika.]]
[[Picha:Flag of Tanganyika.svg|thumb|170px|right|Bendera ya Tanganyika tangu 1961 hadi 1964.]]
{{History of Tanzania}}
 
'''Tanganyika''' ni [[jina]] la kihistoria la sehemu kubwa ya [[Tanzania]] ya leo, yaani ile yote isiyo chini ya [[serikali]] ya [[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar|Zanzibar]].
 
Kwa sababu za kisiasa, mara nyingi huitwa "Tanzania bara" ingawa ina [[visiwa]] pia, hasa [[Mafia]] na [[Kilwa]].