Mapinduzi ya Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[File:ASP-TANU kanga.jpg|thumb|right|[[Kanga]] ya kusherehekea miaka 10 ya mapinduzi, ikipongeza vyama vya [[Afro-Shirazi Party|ASP]] na [[TANU]] ([[makumbusho]] ya [[House of Wonders]], [[Stone Town]]).]]
[[File:Zanzibar revolution 40 years.JPG|thumb|Rais [[Amani Abeid Karume]] akishiriki sherehe ya miaka 40 tangu mapinduzi kufanyika.]]
{{History of Tanzania}}
'''Mapinduzi ya Zanzibar''' yalitokea mwaka 1964 ili kumuondoa madarakani [[Sultani]] wa [[Zanzibar]] na [[serikali]] yake, iliyoundwa hasa na [[Waarabu]], na hatimaye kuweka uongozi mikononi mwa [[Waafrika]], ambao ndio wengi [[Visiwa|visiwani]] humo (230,000 hivi), kwenye [[bahari ya Hindi]], karibu na [[pwani]] ya [[Tanganyika]].