Tofauti kati ya marekesbisho "Julius Nyerere"

no edit summary
| footnotes =
}}
{{History of Tanzania}}
 
'''Mwalimu Julius Kambarage Nyerere''' ([[Butiama]], mkoani [[Mkoa wa Mara|Mara]], pembezoni mwa [[Ziwa Nyanza]], [[13 Aprili]] [[1922]] - [[London]], [[Uingereza]], [[14 Oktoba]] [[1999]]) alikuwa [[rais]] wa kwanza wa [[Tanzania]], na mara nyingi anatajwa kama "baba wa taifa". Kwa hakika aliiathiri kuliko yeyote yule. Ndiye mwasisi wa [[itikadi]] ya [[ujamaa]] na [[kujitegemea]] iliyotangazwa hasa katika [[Azimio la Arusha]].