Benjamin Mkapa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 46:
| footnotes =
}}
{{History of Tanzania}}
 
'''Benjamini William Mkapa''' (amezaliwa [[12 Novemba]] [[1938]]) ni [[Rais]] wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa [[Tanzania]] (1995-2005) na Mwenyekiti wa zamani wa [[Chama Cha Mapinduzi]], CCM (Revolutionary State Party).<ref name="PBS">[1] ^ [http://www.pbs.org/wgbh/commandingheights/shared/minitextlo/prof_benjaminmkapa.html "Benjamin Mkapa",] Microsoft Encarta Encyclopedia 2001, [[WGBH (FM),]] pbs.org, ilitolewa 19-Oktoba-2009</ref>
 
== Wasifu ==
Mkapa ni mhitimu wa [[Chuo Kikuu cha Makerere]].<ref name="PBS" /> Nafasi alizoshikilia zamani ni pamoja na kuwa afisa wa utawala huko [[Dodoma]] na Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu. Yeye pia aliongoza ujumbe wa Tanzania huko [[Marekani]] na alikuwa Waziri wa [[Mambo ya Nje]] kutoka 1977 hadi 1980 na kutoka 1984 hadi 1990.<ref>[http://dsctanzania.org/mkapa.html Benjamin Mkapa,]</ref>
 
Katika mwaka wa 1995, Mkapa alichaguliwa rais msingi wake ukiwa kwa kampeni maarufu ya kupambana na ufisadi na kwa kumuunga mkono kwa nguvu rais wa zamani [[Julius Nyerere]] <ref name="AJPS">[4] ^ Bruce Heilman na Laurean Ndumbaro, [http://archive.lib.msu.edu/DMC/African%20Journals/pdfs/political%20science/volume7n1/ajps007001002.pdf "Corruption, Politics and Societal Values in Tanzania: An Evaluation of the Mkapa Administration's Anti-Corruption Efforts",] Afr. J. polit. sd. (2002), Toleo 1 Nambari 7</ref> Juhudi za Mkapa za kupambana na ufisadi ni pamoja na kuumba jukwaa la wazi lililoitwa Tume ya Rais juu ya Ufisadi (Tume ya Warioba) na kuongeza msaada kwa Afisi ya Kuzuia Ufisadi.<ref name="AJPS" />
 
Muhula wa pili wa miaka 5 wa Mkapa kama Rais uliisha Desemba 2005. Katika wakati wake ofisini, Mkapa alibinafsisha makampuni yanayomilikiwa na serikali na akaweka sera za soko huria.<ref name="aku" /> Wafuasi wake walimtetea kuwa kuvutia uwekezaji wa kigeni ungesaidia kukuza uchumi. Sera zake zilipata msaada wa [[Benki]] ya [[Dunia]] na [[IMF]] na kupelekea baadhi ya [[madeni ya nje]] ya Tanzania kufutiliwa mbali.<ref name="AJPS" />
 
Amekashifiwa kwa upungufu wa baadhi ya jitihada zake za kupambana na ufisadi <ref name="AJPS" /> vilevile matumizi mabaya ya fedha za umma. Utawala wake ulikuwa na matumizi sana na maposho bila kikomo. Alitumia £15 milioni kununua ndege ya kibinafsi ya kirais, vilevile karibu £30 milioni kwa vifaa vya angani vya kijeshi ambavyo wataalam waliona yalizidi mahitaji machache ya majeshi ya nchi .<ref>[9] ^ Gideoni Burrows, [http://www.newstatesman.com/200309080010 "We sell arms to Saddam's friends",] ''New Statesman,'' 8 Septemba 2003</ref> Ilikuwa juu ya ununuzi huu wa mwisho ndipo [[Katibu wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza]] wa wakati huo [[Clare Short]] alielezea hasira ya umma, na kusababisha yeye kujulikana kama 'Mama Radar' katika vyombo vya habari vya Tanzania.
 
Baada ya kutoka ofisini kutokana na kukamilisha mihula miwili inayoruhusiwa, Mkapa anakumbwa na shutuma nyingi za ufisadi kati yao kujipa mwenyewe na Waziri wake wa zamani wa nishati na madini Daniel Yona "Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira" yenye faida kubwa katika Nyanda za juu za kusini mwa Tanzania bila taratibu zifuatazo. Kwa kujibinafsishia mwenyewe mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira, alivunja katiba ya Tanzania ambayo haimruhusu rais kufanya biashara yoyote katika ikulu.
 
Aliteuliwa katika Bodi ya Wadhamini ya Chuo cha Aga Khan mwezi Novemba 2007.<ref name="aku">[10] ^ [http://www.aku.edu.pk/university/bot/bwm.shtml "Mheshimiwa Benjamin William Mkapa",] Bodi ya Wadhamini, Chuo cha AKU, ilitolewa 19-10-2009</ref>
 
==Heshima na Tuzo==