Heli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
}}
 
'''Heli''' (pia heliamu, ing. [[:en:helium|helium]]; kut. kigiriki ἥλιος ''hélios'' "jua") ni [[elementi]] ya kikemia yenye [[namba atomia]] 2 na [[uzani wa atomi]] 4.002602. Alama yake ni '''He'''. Ni [[atomi]] nyepesi ya pili kati ya elementi zote hivyo ina nafasi ya pili katika [[mfumo radidia]] wa elementi. Huhesabiwa kati ya [[gesi adimu]]. Heli iko katika hali ya gesi hata kama halijoto au baridi ni kali ikiganda karibu na [[sifuri halisi]] tu; ni elementi ya pekee isiyoganda kabisa hata kwenye sifuri halisi kama shindikizo ni la kawaida.
 
Heli ni ni element inayopatikana kwa wingi kabisa [[ulimwenguni]] kwa jumla baada ya [[hidrojeni]] lakini hapa [[duniani]] petu ni haba.