Ubunifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ubunifu''' (''Ugunduzi'') mara nyingi huchukuliwa kuwa ni matumizi ya njia bora zaidi zinazokidhi kutatua changamoto mpya,changamoto ambazo tayari zipo l...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Ubunifu''' (''Ugunduzi'') mara nyingi huchukuliwa kuwa ni matumizi ya njia bora zaidi zinazokidhi kutatua [[changamoto]] mpya, changamoto ambazo tayari zipo lakini hazijapatiwa ufumbuzi bado, au changamoto zilizopo kwenye [[soko]] au [[jamii]] kwa kipindi husika.<ref>Maryville, S (1992). "Entrepreneurship in the Business Curriculum". ''Journal of Education for Business''. Vol. 68 No. 1, pp. 27–31.</ref>Dhana hii hutimilika pale ambapo [[bidhaa]], [[huduma]], [[teknolojia]], [[mpangilio]] wa [[biashara]] au njia nyingine yoyote inayoweza kutatua changamoto husika katika jamii ni adimu kuipata katika masoko ya kiuchumi, [[serikali]] au jamii yenyewe.Neno ubunifu linaweza kutafsiriwa kuwa ni kitu fulani halisia na chenye mchango wa wazi katika jamii na hivyo ni kitu kipya kinachojitokeza katika soko au jamii kwa hali ya upya. .<ref>Based on Frankelius, P. (2009). "Questioning two myths in innovation literature". ''Journal of High Technology Management Research''. Vol. 20, No. 1, pp. 40–51.</ref>.Neno '''Ubunifu''' linaendana sana na neno [[Ugunduzi]] japo si maneno yanayolingana kabisa katika maana zake. <ref>{{cite web | url = http://www.businessinsider.com/this-is-the-difference-between-invention-and-innovation-2012-4 | title = This Is The Difference Between 'Invention' And 'Innovation' | first = Kim | last = Bhasin | date = 2012-04-02 | work = Business Insider }}</ref>
 
[[Dhana]] hii hutimilika pale ambapo [[bidhaa]], [[huduma]], [[teknolojia]], [[mpangilio]] wa [[biashara]] au njia nyingine yoyote inayoweza kutatua changamoto husika katika [[jamii]] ni adimu kuipata katika [[Soko|masoko]] ya [[Uchumi|kiuchumi]], [[serikali]] au jamii yenyewe.
 
[[Neno]] ubunifu linaweza kutafsiriwa kuwa ni kitu fulani halisia na chenye mchango wa wazi katika jamii na hivyo ni kitu kipya kinachojitokeza katika soko au jamii kwa hali ya upya<ref>Based on Frankelius, P. (2009). "Questioning two myths in innovation literature". ''Journal of High Technology Management Research''. Vol. 20, No. 1, pp. 40–51.</ref>.
==Marejeo==
 
Neno ''Ubunifu'' linaendana sana na neno [[Ugunduzi]] japo si maneno yanayolingana kabisa katika maana zake.<ref>{{cite web | url = http://www.businessinsider.com/this-is-the-difference-between-invention-and-innovation-2012-4 | title = This Is The Difference Between 'Invention' And 'Innovation' | first = Kim | last = Bhasin | date = 2012-04-02 | work = Business Insider }}</ref>
 
{{mbegu}}
 
==Marejeo==
{{tanbihi}}
 
[[Jamii:Jamii]]