Kalenga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
==Kalenga na historia ya mtemi Mkwawa==
[[Picha:Skull of Mkwawa.jpg|thumb|320px|[[Fuvu la kichwa]] cha Mtemi Mkwawa katika makumbusho ya Kalenga.]]
{{History of Tanzania}}
Kalenga ilikuwa [[makao makuu]] ya ya [[Mtemi]] [[Mkwawa]]<ref>[http://www.mkwawa.com/kalenga Fungu "Kalenga" kwenye Mkwawa.com], iliangaliwa Machi 2017</ref> aliyeongoza [[upinzani]] wa [[Wahehe]] dhidi ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] katika miaka ya [[1891]] - [[1896]]. Huko Kalenga Mkwawa aliwahi kujenga [[boma]] imara ya [[mawe]] baada ya kujifunza kuhusu uenezaji wa Wajerumani kutoka sehemu za [[pwani]]. Boma hii liliitwa Lipuli. [[Ujenzi]] ulianza mnamo [[1887]] ukachukua miaka minne.
 
Baada ya kushindwa kwa jeshi la [[Schutztruppe]] la Kijerumani katika mapigano ya [[Lugalo]] mwaka 1891, Wajerumani walirudi kwa nguvu zaidi wakashambulia Lipuli - Kalenga kwenye Oktoba [[1894]] kwa [[silaha]] kali kama [[mizinga]] na [[bombomu]].