Go-Saga wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Go-Saga hadi Go-Saga wa Japani
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Go-Saga.jpg|right|thumb|Mchoro wa Go-Saga]]
'''Go-Saga''' ([[1 Aprili]], [[1220]] – [[17 Machi]], [[1272]]) alikuwa mfalme mkuu wa 88 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Kunihito'', na alikuwa mwana wa pili wa Tenno [[Tsuchimikado]]. Mwaka wa [[1242]] alimfuata binamu yake Tenno [[Shijo]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1246. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake [[Go-Fukakusa]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}