Go-Fukakusa wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Go-Fukakusa hadi Go-Fukakusa wa Japani
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Go-Fukakusa.jpg|right|thumb|Mchoro wa Go-Fukakusa]]
'''Go-Fukakusa''' ([[28 Juni]], [[1243]] – [[17 Agosti]], [[1304]]) alikuwa mfalme mkuu wa 89 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Hisahito'', na alikuwa mwana wa pili wa Tenno [[Go-Saga]]. Mwaka wa [[1246]] alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1260. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake [[Kameyama]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}