Go-Fushimi wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|Mchoro wa Go-Fushimi '''Go-Fushimi''' (5 Aprili, 128817 Mei, 1336) alikuwa mfalme mkuu wa...'
 
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Go-Fushimi.jpg|right|thumb|Mchoro wa Go-Fushimi]]
'''Go-Fushimi''' ([[5 Aprili]], [[1288]] – [[17 Mei]], [[1336]]) alikuwa mfalme mkuu wa 93 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Tanehito'', na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno [[Fushimi]]. Mwaka wa [[1298]] alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1301. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake [[Go-Nijo]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}