Hanazono wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Hanazono hadi Hanazono wa Japani: jina litajwavyo katika orodha ya Matenno
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
[[Picha:Tenn%C5%8D_Hanazono_detail.jpg|right|thumb|Mchoro wa Hanazono]]
'''Hanazono''' ([[14 Agosti]], [[1297]] – [[2 Desemba]], [[1348]]) alikuwa mfalme mkuu wa 95 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Tomihito'', na alikuwa mwana wa nne wa [[Fushimi]]. Mwaka wa [[1308]] alimfuata binamu yake [[Go-Nijo]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka 1318. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake [[Go-Daigo]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}