Chokei wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Chokei''' (takriban 134327 Agosti 1394) alikuwa mfalme mkuu wa 98 (''Tenno'') wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Yutana...'
 
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
'''Chokei''' (takriban [[1343]] – [[27 Agosti]] [[1394]]) alikuwa mfalme mkuu wa 98 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Yutanari'', na wazazi wake walikuwa [[Go-Murakami]] na Fujiwara Masako. Mwaka wa [[1383]] alimfuata babake [[Go-Murakami]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu [[1383]]. Aliyemfuata ni [[Go-Kameyama]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}