Shoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 15 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q451827 (translate me)
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
'''Shoko''' ([[12 Mei]] [[1401]] – [[30 Agosti]] [[1428]]) alikuwa mfalme mkuu wa 101 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Mihito''. Tarehe [[5 Oktoba]] [[1412]] alimfuata baba yake, [[Go-Komatsu]], na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni [[Go-Hanazono]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}