Go-Mizunoo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+picha
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Go-Mizunoo2.jpg|right|thumb|Mchoro wa Go-Mizunoo]]
'''Go-Mizunoo''' ([[29 Juni]] [[1596]] – [[11 Septemba]] [[1680]]) alikuwa mfalme mkuu wa 108 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Masahito''. Mwaka wa [[1611]] alimfuata [[Go-Yozei]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe [[22 Desemba]] [[1629]]. Aliyemfuata ni binti wake, [[Meisho]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}