Go-Sai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+picha
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Go-Sai.jpg|right|thumb|Mchoro wa Go-Sai]]
'''Go-Sai''' ([[1 Januari]] [[1638]] – [[22 Machi]] [[1685]]) alikuwa mfalme mkuu wa 111 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Nagahito''. Tarehe [[5 Januari]] [[1655]] alimfuata kaka yake, [[Go-Komyo]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe [[5 Machi]] [[1663]]. Aliyemfuata ni mdogo wake [[Reigen]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}