Sakuramachi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+picha
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Sakuramachi.jpg|right|thumb|Mchoro wa Sakuramachi]]
'''Sakuramachi''' ([[8 Februari]] [[1720]] – [[28 Mei]] [[1750]]) alikuwa mfalme mkuu wa 115 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Teruhito''. Tarehe [[13 Aprili]] [[1735]] alimfuata baba yake, [[Nakamikado]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe [[9 Juni]] [[1747]]. Aliyemfuata ni mwana wake, [[Momozono]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}