Go-Sakuramachi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+picha
d +kiungo cha orodha
 
Mstari 1:
[[Picha:Empress_Go-Sakuramachi.jpg|right|thumb|Mchoro wa Go-Sakuramachi]]
'''Go-Sakuramachi''' ([[23 Septemba]] [[1740]] – [[24 Desemba]] [[1813]]) alikuwa mfalme mkuu wa 117 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Satoko''. Tarehe [[15 Septemba]] [[1762]] alimfuata kaka yake, [[Momozono]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa [[1771]]. Aliyemfuata ni mpwa wake, [[Go-Momozono]].
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]
 
{{Mbegu-Kaizari-Japani}}