Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 langlinks, now provided by Wikidata on d:q16932032
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Petersland east africa 1885.png|thumb|Maeneo yaliyodaiwa na shirika la GfdK.]]
{{history of Tanzania}}
'''Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani''' (kwa [[jer.Kijerumani]] ''Gesellschaft für Deutsche Kolonisation'', GfdK; kwa [[ing.Kiingereza]] ''"Society for German Colonization"'') lilikuwa [[shirika]] la binafsi nchini [[Ujerumani]] lililoweka msingi kwa [[koloni]] yala [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] katika eneo la [[Tanzania]] ya leo.
 
==Kuundwa na shabaha==
Shirika lilianzishwa tar[[tarehe]] [[28 Machi]] [[1884]] na [[Karl Peters]] na Wajerumani wengine waliotaka Ujerumani kuingia kati ya mataifa yenye koloni. Shabaha ya shirika ilikuwa kuanzisha ma[[koloni]] zaya Kijerumani katika maeneo nje ya Ujerumani.
 
==Msafara wa Afrika ya Mashariki==
Line 11 ⟶ 12:
Baada ya kurudi Ujerumani mwaka 1885 Peters alitumia "mikataba" hii kwa kupata "hati ya ulinzi" ya serikali ya Ujerumani kwa ajili ya kazi ya shirika katika maeneo husika. Baada ya kupewa hati ya ulinzi Peters aliunda shirika mpya la [[Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki]] na kupeleka haki za shirika kuhusu maeneo ya Kiafrika kwake.
 
== Viungo vya Njenje ==
* [http://www.ub.bildarchiv-dkg.uni-frankfurt.de/Bildprojekt/Lexikon/php/suche_db.php?suchname=Gesellschaft_f%FCr_deutsche_Kolonisation Deutsches Kolonial-Lexikon (1920)]
* [http://www.deutsche-schutzgebiete.de/ostafrika-schutzvertrag.htm Deutsch-Ostafrika]
 
 
[[Category:Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]
[[Category:Historia ya Tanzania]]
 
[[de:Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft]]
[[fr:Société pour la colonisation allemande]]
[[pl:Niemiecka Spółka Wschodnioafrykańska]]