Fasihi simulizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
 
Hata jamii ijuayo kusoma na kuandika inaendelea kuwa na fasihi simulizi, hasa [[Nyumba|nyumbani]], k.m. katika kuwasimulia [[watoto]] hadithi. Lakini mara nyingi fasihi simulizi ya jamii ijuayo kusoma na kuandika ni tofauti sana na fasihi simulizi ya jamii isiyo na uandishi, kwa vile imeathiriwa na ujuzi wa kusoma na kuandika, na [[mtindo|mitindo]] ya masimulizi yake haiendi sambamba na mitindo ya masimulizi yasiyoathiriwa na uandishi.
 
==Sifa za fasihi simulizi==
Fasihi simulizi ina sifa za pekee ambazo huipambanua na fasihi andishi. Sifa hizo ndizo huipa [[uhai]] fasihi hii. Miongoni mwa sifa hizo ni pamoja na:
#'''Utendaji''' wa fasihi simulizi hushirikisha utendaji wa fanani na hadhira moja kwa moja (ana-kwa-ana)
#'''Fanani''' kuwepo kwa fanani ambaye husimulia, huimba, hupiga makofi na hata kubadilisha miondoko na mitindo ya usimuliaji.
#'''Hadhira''' kuwepo kwa hadhira ambayo hushiriki kwa kuuliza maswali, kupiga makofi, kushangilia, kuimba na kadhalika - kutegemeana na jinsi ambavyo fanani atawashirikisha.
#Fasihi simulizi '''huendana na wakati na mazingira'''; baadhi ya tanzu au vipera vya fasihi simulizi vinaweza kuwa vimepitwa na wakati, lakini bado vinaweza kubadilishwa na vikasadifu wakati mahususi.
#Fasihi simulizi '''ni mali ya jamii nzima''', humilikiwa na kila mtu katika jamii. Sifa hii ndiyo huipa uwezo wa kurithishwa toka [[kizazi]] kimoja kwenda kingine.
#Fasihi simulizi '''huzaliwa, hukua na hata kufa'''. Kuzaliwa: fasihi simulizi huzaliwa kutokana na mambo yanayotokea katika jamii. Kukua: fasihi simulizi hukua kadIri inavyojadili matatizo yanayojitokeza. Kufa: fasihi simulizi hufa kwa namna mbili. Hii ni kutokana na [[maendeleo]] ya mazingira ambayo hufuata mfumo wa jamii husika. Kwa mfano kutokana na maendeleo ya [[sayansi]] na [[teknolojia]] fasihi inaweza kuhifadhiwa kwenye [[maandishi]] na kwenye kanda mbalimbali za kurekodi.
#Fasihi simulizi ina '''uwanja maalumu wa kutendea'''; ni sehemu ambayo imetengwa rasmi kwa ajili ya aina/kipera fulani cha fasihi simulizi. Sehemu hiyo inaweza kuwa porini, misituni, mtoni, pangoni, nyumbani na kadhalika.
 
==Tanzu na vipera vya fasihi simulizi==
Line 71 ⟶ 81:
 
===Semi===
Semi ni tungo au kauli fupifupi za kisanaa zenyezitumiazo kubebapicha na tamathali kuelezea maudhui yanayobeba maana au mafunzo muhimu yakwa kijamiijamii. BaadhiKundi yahili tanzulina katikavipera kundiau hilitanzu sita ambazo ni:
 
====Methali====
Methali ni semi fupi fupi zenye kueleza kwa muhtasari fikra au mafunzo, mazito yaliyotokana na uzoefu wa kijamii. Mara nyingi mawazo hayo huelezwa kwa kutumia tamathali hasa sitiari na mafumbo. Methali nyingi huwa na muundo wenye sehemu mbili. Sehemu ya kwanza huanzisha wazo fulani, na sehemu ya pili hulikanusha au kulikaamilsha wazo hilo. Kwa mfano; mwenda pole hajikwai, aliye juu mngoje chini.
====Vitendawili====
Ni semi zilizofumbwa ambazo hutolewa kwa hadhira ili izifumbue. Fumbo hilo kwa kawaida huwa linafahamika katika jamii hiyo, na mara nyingi lina mafunzo muhimu kwa washiriki, mbali na kuwachemsha bongo zao. Vitendawili ni sanaa inayotegemea uwezo wa mtu kutambua, kuhusisha na kulinganisha vitu vya aina mbalimbali vilivyomo katika maumbile.
 
====Misimu====
Ni semi za muda na mahali maalum ambazo huzuka na kutoweka kutegemea mazingira maalum. Msimu ukipata mashiko ya kutosha katika jamii huweza hatimaye kuingia katika kundi la methali za jamii hiyo.
====Mafumbo====
Ni semi za maonyo au mawaidha ambazo maana zake za ndani zimefichika. Fumbo hubuniwa na msemaji kwa shabaha na hadhira maalum, hivyo ni tofauti na methali au vitendawili ambavyo ni semi za kimapokeo.
====Lakabu====
Haya ni majina ya kupanga ambayo baadhi ya watu hupewa au hujipatia kutokana na sifa zao za kimwili, kinasaba, kitabia au kimatendo. Majina haya huwa ni maneno au mafungu ya maneno yenye maana iliyofumbwa. Mara nyingi majina haya huwa ni sitiari. Baadhi ya majina haya humsifia mhusika, lakini mengine humkosoa au hata kumdhalilisha; Mifano: simba wa yuda- Hali Selassie, Baba wa taifa – Mwl Nyerere.
 
===Maigizo===
Maigizo ni mchezo ambao hutumia watendaji wa kuiga tabia na matendo ya watu au viumbe wengine ili kuburudisha na kutoa ujumbe fulani kwa hadhira.
 
==Semi==
Semi ni tungo fupi za kisanaa zitumiazo picha na tamathali kuelezea maudhui yanayobeba mafunzo ya kijamii.
 
===Tanzu za semi===
Semi ina vipera au tanzu sita ambazo ni:
*Methali
*Vitendawili
Line 102 ⟶ 88:
*Mafumbo
*Mizungu
*Lakabu
*lakabu
===Methali===
Methali ni semi fupi zenye mpangilio maalumu wa maneno ambazo huelezea kwa muhtasari mafumbo na mawazo mazito yanayotokana na uzoefu wa kijamii.
 
====Methali====
Methali huundwa na vipande viwili vya maneno vyenye fikra yurani.Kipande cha kwanza huashilia tendo au sharti na kipannde cha pili huashilia matokeo ya tendo au sharti hilo.
Methali ni semi fupi fupi zenye mpangilio maalumu wa maneno ambazo huelezea kwa muhtasari mafunzo, mafumbo na mawazo mazito yanayotokanayaliyotokana na uzoefu wa kijamii. Mara nyingi mawazo hayo huelezwa kwa kutumia tamathali hasa sitiari na mafumbo.
 
Methali ninyingi semihuundwa fupina fupivipande zenyeviwili kuelezavya kwamaneno muhtasarivyenye fikra auyurani. mafunzo,Kipande mazitocha yaliyotokanakwanza nahuashiria uzoefutendo waau kijamii.sharti Marana nyingikipande mawazocha hayopili huelezwahuashiria kwamatokeo kutumiaya tamathalitendo hasaau sitiarisharti na mafumbohilo. Methali nyingi huwa na muundo wenyeAu sehemu mbili. Sehemu ya kwanza huanzisha wazo fulani, na sehemu ya pili hulikanusha au kulikaamilshakulikamilisha wazo hilo. Kwa mfano; mwenda pole hajikwai, aliye juu mngoje chini.
====Mifano ya methali====
 
=====Mifano ya methali=====
*Mcheka kilema,hali hakija mfika.
*Kupotea njia, ndiko kujua njia.
*Mchelea mwana kulia, utalia wewe.
 
Maana ya methali hutegemea muktadha au wakati maalumu katikatika jamii.
 
=====Kazi za methali=====
Methali zina kazi nyingi katika jamii yoyote ile kama vile:
*Kuionya jamii inayohusika au inayopewa methali hiyo.
Line 122 ⟶ 109:
*Kukejeli mambo mbalimbali yanayofanyika ndani ya jamii husika.
 
====Vitendawili====
==Sifa za fasihi simulizi==
Ni semi zilizofumbwa ambazo hutolewa kwa hadhira ili izifumbue. Fumbo hilo kwa kawaida huwa linafahamika katika jamii hiyo, na mara nyingi lina mafunzo muhimu kwa washiriki, mbali na kuwachemsha bongo zao. Vitendawili ni sanaa inayotegemea uwezo wa mtu kutambua, kuhusisha na kulinganisha vitu vya aina mbalimbali vilivyomo katika maumbile.
Fasihi simulizi ina sifa za pekee ambazo huipambanua na fasihi andishi. Sifa hizo ndizo huipa [[uhai]] fasihi hii. Miongoni mwa sifa hizo ni pamoja na:
#'''Utendaji''' wa fasihi simulizi hushirikisha utendaji wa fanani na hadhira moja kwa moja (ana-kwa-ana)
#'''Fanani''' kuwepo kwa fanani ambaye husimulia, huimba, hupiga makofi na hata kubadilisha miondoko na mitindo ya usimuliaji.
#'''Hadhira''' kuwepo kwa hadhira ambayo hushiriki kwa kuuliza maswali, kupiga makofi, kushangilia, kuimba na kadhalika - kutegemeana na jinsi ambavyo fanani atawashirikisha.
#Fasihi simulizi '''huendana na wakati na mazingira'''; baadhi ya tanzu au vipera vya fasihi simulizi vinaweza kuwa vimepitwa na wakati, lakini bado vinaweza kubadilishwa na vikasadifu wakati mahususi.
#Fasihi simulizi '''ni mali ya jamii nzima''', humilikiwa na kila mtu katika jamii. Sifa hii ndiyo huipa uwezo wa kurithishwa toka [[kizazi]] kimoja kwenda kingine.
#Fasihi simulizi '''huzaliwa, hukua na hata kufa'''. Kuzaliwa: fasihi simulizi huzaliwa kutokana na mambo yanayotokea katika jamii. Kukua: fasihi simulizi hukua kadIri inavyojadili matatizo yanayojitokeza. Kufa: fasihi simulizi hufa kwa namna mbili. Hii ni kutokana na [[maendeleo]] ya mazingira ambayo hufuata mfumo wa jamii husika. Kwa mfano kutokana na maendeleo ya [[sayansi]] na [[teknolojia]] fasihi inaweza kuhifadhiwa kwenye [[maandishi]] na kwenye kanda mbalimbali za kurekodi.
#Fasihi simulizi ina '''uwanja maalumu wa kutendea'''; ni sehemu ambayo imetengwa rasmi kwa ajili ya aina/kipera fulani cha fasihi simulizi. Sehemu hiyo inaweza kuwa porini, misituni, mtoni, pangoni, nyumbani na kadhalika.
 
====Misimu====
==Wahusika wa fasihi simulizi==
Ni semi za muda na mahali maalum ambazo huzuka na kutoweka kutegemea mazingira maalum. Msimu ukipata mashiko ya kutosha katika jamii huweza hatimaye kuingia katika kundi la methali za jamii hiyo.
====Mafumbo====
Ni semi za maonyo au mawaidha ambazo maana zake za ndani zimefichika. Fumbo hubuniwa na msemaji kwa shabaha na hadhira maalum, hivyo ni tofauti na methali au vitendawili ambavyo ni semi za kimapokeo.
====Lakabu====
Haya ni majina ya kupanga ambayo baadhi ya watu hupewa au hujipatia kutokana na sifa zao za kimwili, kinasaba, kitabia au kimatendo. Majina haya huwa ni maneno au mafungu ya maneno yenye maana iliyofumbwa. Mara nyingi majina haya huwa ni sitiari. Baadhi ya majina haya humsifia mhusika, lakini mengine humkosoa au hata kumdhalilisha; Mifano: simba wa yuda- Hali Selassie, Baba wa taifa – Mwl Nyerere.
 
===Maigizo===
Maigizo ni mchezo ambao hutumia watendaji wa kuiga tabia na matendo ya watu au viumbe wengine ili kuburudisha na kutoa ujumbe fulani kwa hadhira.
 
==Viungo vya nje==