Kisu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Paring Knife.jpg|230px|right|thumb|Kisu cha jikoni]]
[[Picha:Fischschwanzdolche.jpg|250px|thumbnail|Visu vya mawe (zama za mawe ya mwisho)]]
'''Kisu''' (maana yake "[[msu]] mdogo"; wingi: visu) ni [[kifaa]] cha kukata chenye bapa ambalo ni kali angalau upande moja. Kwa kawaida kuna sehemu [[mbili]]: bapa kali na [[shikilio]]. Siku hizi bapa imetengenezwa kwa [[metali]] na shikilio la [[ubao]] au [[plastiki]].
 
==Historia ya kisu==