Sifuri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d mbegu --> hisabati
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:0 number LZNQBD.jpg|thumb|71px|right|Tarakimu sifuri.]]
'''Sifuri''' (au '''sufuri''' kutoka [[Kiarabu]] ''sifr'' iliyotafsiri [[neno]] la [[Kisanskrit]] ''sunya'' lenye maana ya ''mahali patupu'') ni [[namba]] ya pekee ambayo [[haina]] thamani peke yake, mpaka iandikwe baada ya namba nyingine yoyote. Kwa kawaida inaandikwa '''0''' lakini <big><big>٠</big></big>''' kwa [[namba za Kiarabu]].
 
Kwa [[Kiswahili]] namba hiyo inaitwa pia '''ziro''' kutokana na neno hilohilo la Kiarabu lakini kwa kupitia [[Kiitalia]], [[Kifaransa]] na hatimaye [[Kiingereza]] (inapoandikwa ''zero'').
 
Sifuri kama namba ilianza kutumika [[India]] katikakabla ya [[karne ya 9]] [[BK]], pengine hata [[karne ya 3]].
 
== Tanbihi ==