Tungo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 26:
*Kitenzi hicho huweza kuandamana na kitenzi kisaidizi. Pia, kitenzi katika kishazi huweza kuwa kitenzi kishirikishi.
*Kishazi hutekeleza [[Jukumu|majukumu]] mbalimbali ya kisarufi.
*Tofauti kati ya kishazi na sentensi ni kwamba kishazi hupatikana ndani ya sentensi lakini sentensi hujisimamia kimuundo na kimaana. Kishazi huwa na [[kiarifu]] kimoja na kiima kimoja, Lakini sentensi huweza kuwa na kiima kimoja.
 
 
===Aina za tungo kishazi===
Kuna aina mbili za tungo kishazi nazo ni:1.kishazi huru
2.kishazi tegemezi
 
 
===Kishazi tegemezi===
Kishazi huru ni kishazi kinachotaewaliwa ka kitenzi kikuu, ambacho kwa kawaida hutoa ujumbe kamili usiohitaji maelezo zaidi ya kukamilisha maana.
 
===Kishazi tegemezi===
Kishazi tegemezi ni kishazi kinachotawaliwa kwa kitenzi kisaidizi, ambacho muundo wake hukifanya kutegemea kitenzi cha kishazi huru ili kuweza kutoa ujumbe uliokusudiwa.
 
sifa za kishazi tegemezi
*Kishazi tegegemezi hutoa maana kamili kinapoandamana na kishazi huru.
*Kishazi tegemezi kinaweza kufutwa katika sentensi bila kuharibu maana ya sentensi nzima.
*Kishazi tegemezi hutambulishwa na viambishi vya utegemezi
 
===Aina za vishazi tegemezi===
Kuna aina mbili za vishazi tegemezi nazo ni:1.Vishazi tegemezi vivumishi.
2.vishazi tegemezi vielezi.
 
==Tazama pia==