Tungo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 17:
Kishazi ni tungo yenye kitenzi ambacho chaweza kujitosheleza na kukamilisha [[ujumbe]] uliokusudiwa na mzungumzaji au kuwa na kitenzi kisichoweza kujitegemea.
 
===Sifa za tungo kishazi===
*Kishazi hupatikana katika/ndani ya sentensi.
*Lazima kishazi kiwe na kitenzi: sehemu yoyote ya sentensi isiyo na kitenzi, haiwezi kuwa kishazi. [[Kishazi huru]] hutawaliwa na [[kishazi kikuu]], na [[kishazi tegemezi]] hutawaliwa na kishazi tegemezi.
Mstari 27:
*Kishazi hutekeleza [[Jukumu|majukumu]] mbalimbali ya kisarufi.
*Tofauti kati ya kishazi na sentensi ni kwamba kishazi hupatikana ndani ya sentensi lakini sentensi hujisimamia kimuundo na kimaana. Kishazi huwa na [[kiarifu]] kimoja na kiima kimoja, Lakini sentensi huweza kuwa na kiima kimoja.
 
 
===Aina za tungo kishazi===
Kuna aina mbili za tungo kishazi nazo ni:
*1. kishazi huru
*2. kishazi tegemezi
 
 
====Kishazi tegemezihuru====
Kishazi huru ni kishazi kinachotaewaliwa ka kitenzi kikuu, ambacho kwa kawaida hutoa ujumbe kamili usiohitaji maelezo zaidi ya kukamilisha maana.
 
====Kishazi tegemezi====
Kishazi tegemezi ni kishazi kinachotawaliwa kwa kitenzi kisaidizi, ambacho muundo wake hukifanya kutegemea kitenzi cha kishazi huru ili kuweza kutoa ujumbe uliokusudiwa.
 
sifa=====Sifa za kishazi tegemezi======
*Kishazi tegegemezi hutoa maana kamili kinapoandamana na kishazi huru.
*Kishazi tegemezi kinaweza kufutwa katika sentensi bila kuharibu maana ya sentensi nzima.
*Kishazi tegemezi hutambulishwa na viambishi vya utegemezi
 
=====Aina za vishazi tegemezi=====
Kuna aina mbili za vishazi tegemezi nazo ni:
*1. Vishazi tegemezi vivumishi.
*2.vishazi Vishazi tegemezi vielezi.
 
==Tazama pia==