Chepe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Spade.jpg|thumb|Aina mbili za chepe.]]
'''Chepe''' (pia "koleo" na "sepetu" kutoka [[Kiingereza]] "spade") ni [[zana]] ya [[ujenzi]] ya [[mkono]] inayoweza kuwa ya [[chuma]] au [[mbao]] inayotumika katika kuchotea [[mchanga]] na kuchanganyia [[zege]] wakati wa [[ujenzi]]. Pia chepe hutumika katika kuchimba [[mashimo]].