Wizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Theft-p1000763.jpg|alt=Mfano wa wizi: Magurudumu tu ya baiskeli yamebaki|thumb|Mfano wa wizi: Ma[[gurudumu]] tu yala [[baiskeli]] yamebakilimebaki.]]
'''Wizi''' (kutoka [[kitenzi]] "kuiba") ni wakati [[mtu]] mmoja au ki[[kundi]] kinachukua kutoka kwa watu wengine [[kitu]] chochote, kwa mfano [[pesa]] au [[habari]] bila [[idhini]]. Mtu aliyehukumiwa kwa wizi anaweza kuitwa [[mwizi]].
 
Mstari 5:
 
Kwa jumla [[duniani]] kote wizi unaadhibiwa na [[sheria]].
 
Pia [[dini]] zinaona tendo hilo kuwa [[dhambi]], isipokuwa pengine mtu asipokuwa na njia nyingine yoyote ya kupata mahitaji yake ya msingi.
 
{{mbegu-utamaduni}}