Nidhamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Nidhamu''' ni wazo jema kwenye familia,jeshi hata kwenye [[mafundisho]].kufanya mtoto kuwa na nidhamu ni kwa kuadhibu mtoto pind...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:54, 22 Septemba 2017

Nidhamu ni wazo jema kwenye familia,jeshi hata kwenye [[mafundisho]].kufanya mtoto kuwa na nidhamu ni kwa kuadhibu mtoto pindi anapoonesha tabia mbaya. Kuchapa ilichukuliwa kama aina ya nidhamu, nidhamu binafsi ni kusimamia matendo yako mwenyewe. Nidhamu ya kijeshi inafundisha watu kuheshimu sheria na amri,mwanajeshi mwenye nidhamu ni mtu ambaye anaweza kutenda hata akiogopa maisha yake. Mtu mwenye nidhamu ni mtu ambaye anafanya kinachotakiwa kufanywa ili kufikia malengo yake.