Tofauti kati ya marekesbisho "Nidhamu"

4 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Nidhamu''' ni wazo jema kwenye familia,jeshi hata kwenye [[mafundisho]].kufanya mtoto kuwa na nidhamu ni kwa kuadhibu mtoto pind...')
 
'''Nidhamu''' ni [[wazo]] jema kwenye [[familia]], [[jeshi]] hata kwenye [[[[fundisho|mafundisho]]]].kufanya mtoto kuwa na nidhamu ni kwa kuadhibu [[mtoto]] pindi anapoonesha [[tabia]] mbaya.
 
Kuchapa ilichukuliwa kama aina ya nidhamu, nidhamu binafsi ni kusimamia matendo yako mwenyewe.
Nidhamu ya kijeshi inafundisha watu kuheshimu [[sheria]] na [[amri]],mwanajeshi mwenye nidhamu ni mtu ambaye anaweza kutenda hata akiogopa maisha yake. Mtu mwenye nidhamu ni mtu ambaye anafanya kinachotakiwa kufanywa ili kufikia malengo yake.
 
Nidhamu ya kijeshi inafundisha watu kuheshimu [[sheria]] na [[amri]],mwanajeshi mwenye nidhamu ni mtu ambaye anaweza kutenda hata akiogopa [[maisha]] yake. Mtu mwenye nidhamu ni mtu ambaye anafanya kinachotakiwa kufanywa ili kufikia malengo yake.