Nidhamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Estampe-p1000686.jpg|250px|thumb|right|Kuwa na mawazo mazuri tu kunadai [[juhudi]]. Hilo ni lengo mojawapo la nidhamu.]]
'''Nidhamu''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]]: "discipline") ni [[adabu]] njema kwenye [[familia]], [[jeshi]], hata kwenye [[shule]]. [[Mtu]] mwenye nidhamu ni mtu ambaye anafanya kinachotakiwa kufanywa ili kufikia malengo yake na ya [[jamii]].
 
Kufanya [[mtoto]] kuwa na nidhamu pengine ni kwa kumuadhibu pindi anapoonesha [[tabia]] mbaya. Kuchapa kulichukuliwa kama aina ya nidhamu.
 
Hata hivyo muhimu zaidi ni nidhamu binafsi, ambayo ni kujitawala kwa kusimamia matendo na hata mawazo yako mwenyewe yawe ya kufa tu.
 
Nidhamu ya kijeshi inafundisha watu kuheshimu [[sheria]] na [[amri]]. [[Mwanajeshi]] mwenye nidhamu ni mtu ambaye anaweza kutenda hata akiogopa kwa [[maisha]] yake.